Mt Kizito Makuburi Nenda Magufuli live performance
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=07tqlyZOVCQ
Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi wakiimba mbashara katika Studio za TBC Taifa, kuomboleza kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli • • “Ikiwa Twaamini ya Kwamba Kristo alikufa na Kufufuka ,Vivyo hivyo na Hao waliolala katika Kristo, Mungu atawaleta Pamoja Naye” • • Waimbaji: KMK Makuburi • Wimbo : Nenda Magufuli • Mtunzi na Mtangulizi : Bernard Mukasa • Kinanda: Vinny Mukasa • Pumzika Kwa Amani Mpendwa🙏🏾 • Tutaonana Tena🙏🏾🇹🇿.Channel Administered by Huru Digital • Instagram: / hurudigital
#############################
