Kaki Mwihaki Nani Kama YahwehOfficial Music Video featRedFourth Chorus
YOUR LINK HERE:
http://youtube.com/watch?v=1MlPTPAu5vE
#Yahweh is the name of God; it means He who is, or He who causes to be. (Exodus 3:15) Who is like Him? No one! • This is my debut single; my first song as a solo artist. • Arranged Produced by; • Filah Philip Tuju of RedFourth Chorus. • ~~ • Song Title: NANI KAMA YAHWEH • Written by: Roseline Mwihaki • Verse 1: • Uliumba ulimwengu, • Kwa matamshi yako, ikawa • Ulimpulizia binadamu, • Pumzi yako, akawa • Wanishangaza aaah • Matendo yako ni makuu nayafurahia • Wanishangaza aaah • Binadamu ni nani, wamfikiria • • (Chorus) • Nani kama Yahweh • yahweh, Yahweh • Hulinganishwi.. Wewe.. Yahweh • Nani kama Yahweh • Yahweh, Yahweh • Hulinganishwi.. Wewe.. Yahweh • • Verse 2: • Mungu Mwamuzi • Mungu Mwenyezi • Bila wewe, siwezi • Msingi wangu, ngao yangu • Ngome yanguuuuu..ooh ni wewe • Wanishangaza, aaah • matendo yako ni makuu nayafurahia • Wanishangaza aaah • Binadamu ni nani, wamfikiria • • (Repeat Chorus) • • Bridge: • Jina hilo, Jina Yahweh • Tukiliita twapona • ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ • Contact: 📧 [email protected] • Stream Kaki Music: • / kaki-mwihaki • Instagram: Kaki_Mwihaki • / kaki_mwihaki • Facebook: Kaki Mwihaki • / theofficialkaki • Twitter: KakiMwihaki • / kakimwihaki • TikTok: Kaki_Mwihaki • / kaki_mwihaki
#############################
