BBC News Swahili
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=2o9nd6Flbo8
Miaka 10 iliyopita tarehe kama ya leo, nchi ya Kenya ilikumbwa na mkasa wa moja ya maduka yake makubwa ya Westgate jijini Nairobi kuvamiwa na kundi la Al-shabaab. Takriban watu 67 waliuawa, na zaidi ya watu 200 walijeruhiwa. • BBC imekuandalia video inayoonesha mkasa mzima ulivyotokea na jinsi watu walivyoweza kuokolewa. • #bbcswahili #kenya #westgate • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
#############################
