Umenibeba by Tumaini Lyrics
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=3oY60HOw11I
#Umenibeba #Tumaini #haijawa_rahisi #genuine #lyrix • Chorus: • Haijawa rahisi kufika hapa • (It has not been easy to get here) • Ni mkono wa Mungu umenibeba • (It is God's hand that carries me) • Umenibeba, umenibeba • (You carried me, you carried me) • Ni mkono wa Mungu umenibeba • (It is God's hand that carries me) • Verse 1: • Hakuna kitu nzuri • (Nothing good) • Kama kuweka imani ndani ya Mungu • (Like putting faith in God) • Hakuna jambo nzuri • (Nothing good) • Kama kuweka imani ndani ya Mungu • (Like putting faith in God) • Yeye hajui disappointment • (He does not know disappointment) • Yeye haelewi kuvunja moyo • (He does not understand heartbreak) • Kumtegemea huepusha mambo mengi • (Relying on him avoids many things) • Kumtumainia kunasaidia • (Trusting him helps) • Chorus: • Haijawa rahisi kufika hapa • (it has not been easy to get here) • Ni mkono wa Mungu umenibeba • (it is God's hand that carries me) • Umenibeba, umenibeba • (You carried me, you carried me) • Ni mkono wa Mungu umenibeba • (It is God's hand that carries me) • Verse 2: • Mungu napenda unavyofanya ahadi zako • (God I love the way you keep your promises) • Kwanza huwezi ahidi ukose kutimiza • (First you can't promise to fail to keep it) • Mungu napenda unavyofanya ahadi zako • (God I love the way you keep your promises) • Kwanza huwezi ahidi ukose kutimiza • (First you can't promise to fail to keep it) • Chorus: • Haijawa rahisi kufika hapa • (It has not been easy to get here) • Ni mkono wa Mungu umenibeba • (It is God's hand that carries me) • Umenibeba, umenibeba • (You carried me, you carried me) • Ni mkono wa Mungu umenibeba • (It is God's hand that carries me) • Original Music: • • Umenibeba By Tumaini(sms skiza 791847... • NB: I don't own any rights to the music, all credits goes to original owner of the music. • Be Blessed! • Get in touch with Genuine Lyrix via: • Email: [email protected] • Facebook Page: Genuine Lyrix • Instagram: genuine.lyrix
#############################
