CODE NA KANUNI ZA MAISHA Michael Kamukulu











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=4qD_Qu4mTcY

Zifahamu CODE na kannuni zitakazokusaidia kuzishinda changamoto za maisha wakati wa kuelekea mafanikio. Badili mtazamo na Michael Kamukulu kupitia ‪@lenzi.michaelkamukulu‬ • Kwenye video hii, tunaagalia kuhusu thamani ya muda, juhudi, na uwiano wa maisha yetu ya kila siku na matokeo tunayopata. Dunia haitupatii mafanikio kwa urahisi—ni lazima tujifunze kanuni za msingi za maisha. Kizazi hiki mara nyingi kimejikita katika kutafuta mali na umaarufu, huku kikisahau kusudi la safari yenyewe. Je, tunapima mafanikio yetu kwa mizani sahihi? Tunatambua mikono iliyotushika na kutufikisha tulipo leo? Huu ni mwaliko wa kutafakari maisha yetu kwa kina na kuhakikisha tunajenga urithi unaoishi vizazi na vizazi. • #michaelkamukulu #lenzi #hatua

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org