Waweru Mburu akumbukwa
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=5LseWyoGi2k
Mtangazaji maarufu na mkuu wa Radio Citizen mojawapo wa radio stesheni zinazomilikuwa na kampuni ya Royal Media Services, Waweru Mburu amefariki. Waweru Mburu anayejulikana kwa kipindi chake Yaliyotendeka alifariki Jumatatu adhuhuri katika hospitali ya MP Shah jijini Nairobi ambako alikuwa amelazwa baada ya kuugua saratani ya tumbo. • • • • Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. • This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. • Follow us: • http://citizentv.co.ke • / citizentvkenya • / citizentvkenya • https://plus.google.com/+CitizenTVKenya • / citizentvkenya
#############################
