Simba 41 Yanga Magoli yote nusu fainali ASFC











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=5VcBmmTCXXo

Simba imeichapa Yanga magoli 4-1 katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) uliochezwa leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Gerson Fraga, Clatous Chama, Luis Miquissone na Mzamiru Yassin, huku Feisal 'FeiToto Abdallah akiwapatia Yanga goli la kufutia jasho. Haya hapa magoli yote - 12/07/2020. • #wataniwajadi #simbayanga #simbachama #chamasimba • Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: • ► https://bit.ly/2wB6zmR • Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii • ►INSTAGRAM:   / azamtvtz   • ►INSTAGRAM:   / azamsports2   • ►TWITTER:   / azamtvtz   • ►FACEBOOK:   / azamtvtz   • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org