Quick Rocka Te Amo Official Video
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=5vA6qm3xat8
#QuickRocka #TeAmo • Lyrics: • Rocka …. Quick • Kiutani tani maajabu flani unipege, • Chumbani mbani uno nipandishe ndege • Wahuni na mjani,me na wangu honey hizo dede. • Utamu flani mambo flani nikubebe. • Me nawe kama mfupa kwa fisi,tope kwa kambale • Umeniteka kiurahisi mtoto wa tandale, • Unanipenda nasikia raha,gusa pale pale. • Wachawi wanazidi kudiss,tandika tulale mama. • Te Amo ,mamy wee gusa pale pale • Te Amo , Mmmh tandika tulale mama • Te Amo , Mamy wee nagusa pale pale • Te Amo , Mmmh tandika tulale mama. • Chai sambusa umefunga funga • Aaah hii moto sasa (moto moto) • Ukinisusa ukinitupa balaa puupakacha • Usije nijaribia mama nitajifia • Mwenzako nakuzimia sana ntaumia • Usije nijaribia mama nitajifia (Oooh weeweee) • Mwenzako nakuzimia sana ntaumia . • Me nawe kama mfupa kwa fisi,tope kwa kambale (Aaah yeh yeh! ) • Umeniteka kiurahisi mtoto wa tandale, • (Aaah yeh yeh! ) • Unanipenda nasikia raha,gusa pale pale. • (Aaah yeh yeh! ) • Wachawi wanazidi kudiss,tandika tulale mama. • Te Amo ,mamy wee gusa pale pale • Te Amo , Mmmh tandika tulale mama • Te Amo , Mamy wee nagusa pale pale • Te Amo , Mmmh tandika tulale mama. • Nikizunguka ukibinuka wee unakata (Mwali) • Mamy unakata (Chali) • Oooh baby unakata (Mwali) • Unavyochuma tembele mama • Mizungu unakata (Mwali) • Mamy unakata (Chali) • Oooh baby unakata (Mwali) • Te Amo , Mamy wee gusa pale pale • Te Amo , Mmmh tandika tulale mama • Te Amo , Mamy wee nagusa pale pale • Te Amo , Mmmh tandika tulale mama. • Switcher baba . • • • (C) Switch Music • • Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: • https://ffm.to/quickrocka • Written Performed by Quick Rocka • Follow QuickRocka on: • / quickrocka • / quickrocka • • Channel Administered by Slide Digital • Instagram: / slidedigitaltz
#############################
