DW Kiswahili Mapenzi salama kuepusha maradhi ya zinaa
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=627QRYvOx58
Afya Yangu kwa Uhakika | Vijana Mubashara| Mapenzi Salama| Epusha magonjwa ya zinaa • Ikiwa wataka kushiriki mapenzi, basi hakikisha unayafanya kwa njia salama. Daktari Chinonso Egemba anakupa baadhi ya mbinu za kuhakikisha usalama wako na wa mwenzio uliye naye kwenye mahusiano kama hayo. • #AfyaYanguKwaUhakika #Vijana Mubashara #Afya Yako #77asilimia Asilimia #shorts
#############################
