Kushuka kwa ufaulu kwa Somo la Kiswahili kwazua maoni mseto
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=69f26uE_-is
Somo la Kiswahili kutokutiliwa mkazo kama ilivyo masomo ya Sayansi na Hisabati imekuwa chanzo cha kushuka kwa ufaulu wa somo hilo tofauti na miaka ya nyuma ambapo somo hilo lilikuwa mkombozi kwa wanafunzi. • Jambo hilo limejidhihirisha kwenye matokeo ya mtihani wa Darasa la saba yaliyotangazwa jana, Oktoba 29,2024 na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA ) na kuonesha kuwa ufaulu wa somo hilo umepungua wakati ufaulu wa masomo kama Hisabati, Sayansi na Kiingereza ukipaa wakati yamezoeleka kama masomo magumu. • #azamnewsupdates #SomolaKiswahili • Mhariri|@official_jennifersumi
#############################
