KILIMO CHA NYANYAMambo muhimu ya kuzingatia ili kulima nyanya kwa faida
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=6fbefc5SHmM
2.0 AINA ZA NYANYA: • Aina nzuri za nyanya ni zile zinazotoa mavuno mengi na bora; zinazostahimili magonjwa, zinazokomaa mapema, zenye ladha nzuri na umbo la kuvutia,. • Zifuatazo ni aina bora za nyanya • zinazolimwa hapa nchini; Aina hizi zimegawanyika katika makundi makuu mawili kutegemea • ukuaji wake. • 2.1 Kutokana na tabia ya ukuaji, nyanya zinagawanyika katika makundi • mawili: • 1.Aina ndefu ( intermediate) kwa mfano ANNA F1, Tengeru 97. Money Maker, Marglobe, Beef • Master, Lot No 2009, Mandel na Tanya. • Aina hizi hufanya vizuri zaidi zinapopandwa ndani ya • greenhouse. Uvunaji wake ni wa muda mrefu, zipo ambazo zinavunwa hata zaidi ya miezi 6, yaani hiyo miezi 6 ni ya uvunaji. • 2. Aina fupi (determinate) kwa mfano Tanya, Cal J, Mwanga, Onyx, Roma VF (nyanya • mshumaa), Dwarf germ, Amateur, Red Cloud, Reza na Columbian. • 2.2 Kutokana na uchavushaji, nyanya zinagawanyika makundi mawili: • 1. OPV (Open Pollinated Variety) - Aina za kawaida • 2. Hybrid – Chotara: • Hizi ni aina zenye mavuno mengi, kati ya hizo zipo aina fupi na ndefu. Katika karne hii ya 21, nyanya zinazopendelewa kulimwa zaidi na wakulima, ni zile zinazoweza • kuvumilia magonjwa, zinazo zaa sana, na zenye ganda gumu ili kufanikisha usafirishaji, na • kuhifadhika kwa siku nyingi bila kuharibika mapema. • 3.0 Kuandaa Kitalu cha Nyanya • 3.1 Mambo muhimu ya kuzingatia • • Kitalu kiwe karibu na maji ya kutosha na ya kudumu • • Kiwe sehemu iliyowazi na yenye udongo ulio na rutuba ya kutosha • • Eneo la kitalu kama ni kubwa liwe tambarare au na mwiinuko kidogo ili kuepuka maji • yasituame kwenye kitalu, • mtelemko ukiwa mkali sana nao sio mzuri kwani husababisha • mmomonyoko wa udongo. • 3.2 Kuandaa Matuta ya Kusia Mbegu za Nyanya. • Aina ya matuta: • – matuta ya makingo (sunken seed bed) • – matuta ya kunyanyulia udongo (raised seed bed) • – matuta ya kawaida (flat seed beds) • 3.3 Mambo Muhimu ya Kuzingatia wakati wa Kuandaa Matuta • • Tuta liwe na upana kati ya sentimita 90-120, na urefu wowote, [ili mradi muhudumu anaweza • kutoa huduma nyingine zote kitaluni bila kukanyaga miche]. • 4.0 KUOTESHA/KUSIA MBEGU: • Mwagilia kitalu siku moja kabla ya kupanda, kisha sia mbegu katika mistari yenye nafasi ya • sentimita 10 hadi 20 kutoka mstari hadi mstari Kina cha mistari kisiwe cha kutisha bali kiwe • kati ya sentimita 1-2. • Kiasi cha mbegu kinachohitajiwa kwa hekta moja ni gramu 300 hadi 500. • Mbegu ziatikwe kwenye mistari na zisambazwe vizuri ili kufanikisha usambaaji mzuri wa • mbegu kwenye tuta. • Changanya mchanga laini na mbegu kisha sambaza kwenye mistari • iliyoandaliwa kwenye tuta. • Mbegu zinaweza pia kuatikwa kwenye tuta bila mistari, lakini zisambazwe kwa uwiano mzuri • kwenye tuta ili kupunguza msongamano. • Msongamano husabisha magonjwa ya fangasi kama • vile kinyausi (damping off) au ukungu (blight). • • Weka matandazo kama vile nyasi kavu au majani ya migomba kiasi cha kutosha ambacho • hakitazuia kuota kwa mbegu. • • Mara baada ya kusia mbegu, mwagilia maji kiasi cha kutosha kulingana na unyevu nyevu • ulioko ardhini endelea kisha mwagilia maji asubuhi na jioni mpaka mbegu zitakapoota. • Mbegu • huota baada ya siku tano hadi 10. • Ondoa nyasi mara baada ya mbegu kuota. • Jenga kichanja ili • kuzuia jua kali na matone ya mvua yanayoweza kuharibu miche . • 4.1 Mambo ya Kuzingatia baada ya kusia mbegu pamoja na Matunzo • Kitaluni • • Punguzia miche (thinning) ili ibakie kwenye nafasi ya kutosha. • Hivyo miche ibakie kwenye • umbali wa sentimita 2.5 - 4. Hii itapunguza magonjwa ya ulemavu na mnyauko, pia itasaidia • kupata miche bora na yenye nguvu. • • Endelea kumwagilia hadi miche ifikie kimo kinachofaa kuhamishia shambani. • • Punguza kiwango cha umwagiliaji maji, siku chache kabla ya kuhamishia miche shambani, yaani siku 7-10. • 5.0MAANDALIZI YA SHAMBA LA NYANYA • • Shamba la nyanya liandaliwe mwezi 1-2 kabla ya kupanda miche. • • Katua ardhi katika kina cha kutosha hadi kufikia sentimita 30. • Lainisha udongo kwa kuvunja • mabonge makubwa kwa kutumia jembe. Mara baada ya kulima choma nyasi juu ya udongo au • ondoa magugu yote yanayoweza kuhifadhi wadudu na magonjwa ya nyanya. • •. Weka mbolea za asili wiki mbili kabla ya kupandikiza. • Kiasi kinachohitajika m tani 20 kwa • hekta (sawa na ndoo moja hadi mbili) kwa kila eneo la mita mraba mmoja. • • mtaji wa kilimo cha nyanya • gharama za kilimo cha nyanya • utajiri wa kilimo cha nyanya • kilimo cha nyanya kiangazi pdf • kilimo cha nyanya wakati wa mvua • kilimo cha nyanya 2020 • kilimo cha nyanya ndefu • kilimo cha nyanya masika • #mkulimasmart • #shambadarasa
#############################
