KWAYA KUU KKKT KIFULA Ugweno TUKUMBUKA ISANGA











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=6wUqW0pXeNg

Kwa neno la Mungu Mbingu zilifanyika. Ni maneno yanayoimbwa na kwaya hii ya Mt. Agustino kutoka Manundu Korogwe, Jimbo Katoliki la Tanga.Wimbo huu ni Utunzi wake Mussa Charles Mabogo, na Umerekodiwa katika Studio za RAJO Productions (Audio Video)Tunakukaribisha uweze kusikiliza maneno matamu na kutazama ili mwisho wa siku ubarikiwe na kupata Neema za Mungu.Huu ni wimbo utakaofanya Mwenyezi Mungu aweze ku Mimina Neema zake kwenye maisha yako kwa kutambua ukuu wa Mungu. • • Wasiliana na kwaya kupitia namba: +255 653 082 026 au +255 755 082 026 • • Wasiliana na RAJO PRODUCTIONS kupitia namba +255 758 988 827 • #kwayakatoliki

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org