WAZIRI MKENDA NA MIPANGO MIZITO YA KUBORESHA ELIMU YA TANZANIA
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=7NxPH-Rjt2k
#breakingnews #2gendahtvonline #raissamia #wazirimkenda #elimu • WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda amefanunua kuwa elimu ya sekondari itagawanyika kwa mikondo miwili kwa maana ya masomo ya kawaida na yale ya amali ambayo yatasaidia wanafunzi kujiajiri na hivyo kupunguza tatizo la ajira nchini. • • Source : Habari Leo
#############################
