Tamthilia ya Tausi Episode 1











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=7Pde775nkpo

TAMTHILIA YA TAUSI EPISODE 1 • TAUSI ni tamthilia inayozungumzia kuhusiana na Tamaa ya mali, ukabila, ushirikina na mapenzi ya ulaghai, vyote kwa pamoja vinachangia kusambaratisha ndoa nyingi katika jamii yetu. Katika tamthilia hii ya TAUSI, tunakutana na ZABIBU, ni miongoni mwa wanawake waliokumbana na tatizo hilo, baada ya kuachwa na mumewe anayeitwa FERUZ... Tukio la kuachwa na mumewe lilimpa msukumo wa kutafuta fedha kwa ajili ya kuendesha maisha yake na watoto wake ambao ni TAUSI, TABIA na TABU. Kwa bahati mbaya alijikuta akipoteana na watoto wake na kuwa simanzi kwake. Licha ya kufanikiwa kupata fedha na maisha mazuri, ila hakuwa mtu mwenye furaha na maisha yake, kila wakati alikuwa ni mwenye simanzi na majuto makubwa kwa ajili ya kuwawaza watoto wake. • ZABIBU alivyokwenda kijijini kuwafuata watoto wake, aliambiwa wamekuja mjini baada ya bibi yao kufariki. Kuanzia hapo hakubahatika kuonana na watoto wake. Meneja wake anayeitwa VIVIAN, alifahamu tatizo la bosi wake, alimtafuta msichana yatima anayeitwa SEMENI akamtambulisha kwa ZABIBU kuwa ni TAUSI, na watoto wengine walishafariki kutokana na ugumu wa maisha. VIVIAN alitoa pesa kwa daktari ili kutoa majibu ya uongo ya DNA. Vivian alifanya hivyo ili afanikiwe kupata mali za ZABIB kupitia SEMENI. • • WAHUSIKA: • Nurati Ngeleshi kama ZABIBU • MAREHEMU, Mwajuma Abdul Dilunga kama ZULEKHA • Lulu Gewe kama TAUSI • Recho George kama SHAKIRA • Fred Mandia kama FERUZ • Swaumu Selemani kama MONICA • Amina Kassim kama VIVIAN • Hassan Lukuu kama MKUDE • Raphael Milingo kama MGANGA CHOGEZA • Appolinaly Mathew kama JOSHUA • Hamisa Zungo kama MAMA FERUZ • #BTV #Drama #TAUSI • Directed by • Prince Dilu • Written By • Prince Dilu • Produced By • Sun shine Artist Theatre • E.mail. [email protected] or [email protected] • TAMTHILIA YA TAUSI EPISODE 1.....    • Tamthilia ya Tausi Episode 1   • TAMTHILIA YA TAUSI EPISODE 2......    • Tamthilia ya Tausi Episode 2  

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org