MWANAMKE BOMBA Diana Aupe Naker rubani wa ndege za kivita
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=84uPCvOWplk
Katika vikosi vya ulinzi humu nchini, kuna wanawake wengi tu waliobobea katika vitengo na sekta mbalimbali. Na hii leo kwenye Mwanamke Bomba, mwenzangu Mwanahamisi Hamadi alipata fursa ya kuzungumza na baadhi yao na hii hapa simulizi yake #MwanamkeBomba #DianaAupeNaker
#############################
