Ruvu Shooting 23 Yanga SC Highlights VPL 17062021
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=9Jgnw3NdAsY
Yanga SC imepata ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. • Yanga wametangulia kwa magoli mawili ya Feisal Salum (Feitoto) kabla ya Saidi Ntibazankiza kufunga la tatu kwa free-kick wakati Ruvu wakipata magoli yao kupitia kwa Emmanuel Martine na david Richard ollomi. • • Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- • ►INSTAGRAM: / azamtvtz • ►INSTAGRAM: / azamsports2 • ►TWITTER: / azamtvtz • ►FACEBOOK: / azamtvtz • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#############################
