Quick Rocka Kabinti Official Audio
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=9hWNnMiNKeI
#QuickRocka #Kabinti • Lyrics ; • Rocka … Quick • Everytime i close my eyes girl all i see is you, • Siwezi hata kusema lies,coz all i see is true, • Nimejikoki ninja nimetulia nakuonyesha mabalaa • Nilivyo kama mjinga nasujudia nakufuata kila saa, • Na ulivyoumbika mama wee nakosa wapi pa kuanzia • Unavyonipenda dada wee tabasamu lako laniambia, • Baby I love you so much,tuwe tu wawili , • Na leo nakuoa tukajenge family, • Yes you know I love you so much ,tuwe tu wawili, • Na leo nakuoa tukajenge family… • Oooh baby nikikuona,napatwaga kahoma • Wee mzuri mpaka noma ,Katoto ka kigoma (Uuh yeah) • Oooh baby nikikuona,napatwaga kahoma • Wee mzuri mpaka noma ,Katoto ka kigoma (Uuh yeah) • *Kabinti Kabinti Kabinti kameniweza • Kabinti Kabinti Kabinti kameniweza • *Kabinti Kabinti Kabinti kameniweza • Kabinti Kabinti Kabinti kameniweza. • Katu katu me sihitaji mwengine juwa nakupenda Wewe tu, • Uzuri wako mashallah na vingine vingi sisemi nakuwa (Buuuubu) • Acha nikupende bila kipimo • Kwenye shida raha kote wewe umo • Shinda vishawishi kwepa mashimo • Utamu wa mapenzi kuendana kimo • Na ndio maana I feel so happy nikiwa na wewe my Love • Sijui najihisi niko wapi umenichanganya my love • Baby I love you so much,tuwe tu wawili , • Na leo nakuoa tukajenge family, • Yes you know I love you so much ,tuwe tu wawili, • Na leo nakuoa tukajenge family… • Oooh baby nikikuona,napatwaga kahoma • Wee mzuri mpaka noma ,Katoto ka kigoma (Uuh yeah) • Oooh baby nikikuona,napatwaga kahoma • Wee mzuri mpaka noma ,Katoto ka kigoma (Uuh yeah) • *Kabinti Kabinti Kabinti kameniweza • Kabinti Kabinti Kabinti kameniweza • *Kabinti Kabinti Kabinti kameniweza • Kabinti Kabinti Kabinti kameniweza • Switcherbaba. • • (C) Switch Music • • Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: • https://ffm.to/quickrocka • Written Performed by Quick Rocka • Follow QuickRocka on: • / quickrocka • / quickrocka • • Channel Administered by Slide Digital • Instagram: / slidedigitaltz
#############################
