Mercy Masika Wastahili Official Video











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=A-0XfSIurLM

The Lord Jesus Christ deserves all praise and glory, He alone is worthy. We owe all our lives to Him. • Song: Wastahili • Artist: Mercy Masika • Video: Steve Hunter • Year: 2018 • MERCY MASIKA CONTACTS • Email - [email protected] • Facebook -   / mercymasikake   • Twitter -   / mercymasika   • Instagram -   / mercymasikamuguro   • Website - https://www.mercymasika.com • • LYRICS • Mungu wa wokovu wangu • Wastahili kusifiwa • Hakuna kama wewe Yesu • Kule kuwa kama Mungu uliona si kitu • Cha kushikamana nacho • Ukaacha enzi ukashuka kwetu • Kule kuwa kama Mungu uliona si kitu • Cha kushikamana nacho • Ukaacha enzi ukashuka kwetu kutukomboa • Bridge • Kaburi lilishindwa kukushika shujaa • Ukatoka na nguvu na mamlaka • Umeketi enzini wafungua wafungwa • Twakuabudu milele • Kaburi lilishindwa kukushika shujaa • Ukatoka na nguvu na mamlaka • Umeketi enzini wafungua wafungwa • Twakuabudu milele • Chorus • Wastahili, wastahili • Utukufu na nguvu zinawe ee Bwana • Halleluiah Halleluiah • Utukufu na nguvu zinawe ee Bwana (x2) • (Bridge) • (Chorus)

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org