Vitafunwa vinavyoitoa familia ya marehemu Malid Dodoma kimasomaso











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=AKlyxOHD7Tc

Familia ya marehemu Mzee Maulid inayopatikana Barabara ya Tisa ya jijini Dodoma yenye wake watatu na watoto 15 imejizolea umaarufu na kujipatia kipato kwa kufanya biashara ya kupika vitafunwa kama vitumbua, bagia, chapatti na sambusa. • Aidha umaarufu huo umeufanya mtaa wanaoishi kujulikana zaidi na wenyeji na hata wageni katika Jiji la Dodoma ambao hufika kujipatia vitafunwa nyakati za asubuhi na jioni • #azamtvupdates • Mhariri| @official_jennifersumi, Warda John

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org