KRISTO MSHINDI











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=AimbZjRjUpc

Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Nangwa, Jimbo Katoliki la Mbulu, wanatukaribisha kushiriki katika kutazama na kusikiliza wimbo huu maalum wa Pasaka uitwao KRISTO MSHINDI. • Wimbo huu ni utunzi wake Dr.Kelvin B Bongole. • Audio na Video vimefanywa na RAJO Productions • Unaweza kuwasiliana na kwaya hii kwa namba • +255 783 525 242 • +255 784 525 242 • #rajoproductions #kristomshindi

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org