Bella Kombo Nifinyange Official Live Recorded Video











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=B672b9IAfHo

.Nifinyange ni wimbo uliobeba maono ya Ibada ya RE-BIRTH EXPERIENCE iliyorekodiwa Tarehe 24 Octoba 2021, Dar Es Salaam. • Nifinyange ni wimbo wa maombi ambao Roho anaimiza kwa Kanisa kwa habari ya unyenyekevu, Ili atufanye kama apendavyo kwa wito wake kwa kazi hii. • Ni maombi yangu kwa kwamba Ukiri huu ukawe halisi kwenye maisha yako yako,Kufanywa upya, Kurejeshwa, Na kurudi katika nafasi ambayo Mungu ametukusudia. • • WARUMI 8:11 • Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu. • ACKNOWLEDGEMENTS • THE MUSIC BAND • Music Director : Elisha Julius ( KORG ) • Aux : Daniel • Bass guitarist : Benjamin Makolobela • Lead Guitarist: Hagai Makuzi • Drummer : Andrew Chitete • Sound: Sound Solution (SSI) • Event Audio Engineering: Gady • Audio Mixing and Mastering: Mujwahuki • THE BGV's and the Vocal Arranger John Kavishe • • SOCIAL MEDIA HANDLES • Instagram : officialbellakombo • youtube : Bella Kombo • #NIFINYANGE #BELLAKOMBO #REBIRTHEXPERIENCE

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org