WAZIGUWA MAME MWALI











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Bic5tnl3Nv8

Wazigula (au Wazigua) ni kabila la watu kutoka eneo karibu na Bahari Hindi baina ya Dar es Salaam na Tanga, nchini Tanzania. Baadhi ya kabila ya Wazigula wanapatikana kusini mwa Somalia, • • Mwaka 1993 idadi ya Wazigula ilikadiriwa kuwa 355,000 [1]. • • #waziguangoma #waziguakabila #historiawazigua #WAZIGUWAMAMEMWALI • • Lugha yao ni Kizigula, ya jamii ya lugha za Kibantu. • • Maana ya Zigua ni kuchukua au kukamata eneo. Miaka mingi iliyopita Wazigua walipigana vita na kuyashinda makabila ya Wabondei na Wasambaa. Makabila hayo yaliyoshindwa vita yalikimbilia maeneo ya mabondeni na mengine kusambaa milimani, Wabondei huko Mabondeni, na Wasambaa walisambalia milima ya Usambara. Ndio chanzo cha majina ya makabila haya, kwani kabla ya hapo walikuwa wakiishi pamoja kama koo za jamii moja iliyojulikana kwa jina la Boshazi maana yake Bondei, Zigua, Sambaa. • • Unaweza kumtambua Mboshazi kwa jina lake; kwa mfano Mzigua Samamboe, Sakuzindwa, Sannenkondo, Sankanakono, Samboni, Shundi, Butu, Sebbo, Chamdoma n.k. Kuzungumza kwao huvuta maneno, mfano wa kusalimiana, Ahooni niheedi hanginyuwe n.k.

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org