Bado mapambano Kumbukumbu ya maisha ya marehemu Otieno Kajwang
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=BjQ64Wi3VvI
Alikuwa kigogo wa kutajika katika ulingo wa kisiasa, na kwa wananchi alitambulika sana kwa wimbo wake maarufu wa ‘mapambano ‘ lakini mbali na hayo seneta Gerald Otieno Kajwang atakumbukwa kwa mengi hasa mchango wake mkubwa katika fani mbalimbali ikiwemo za kisiasa na hata kimaendeleo. • Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live • Follow us on / ktnkenya • Like us on / ktnkenya
#############################
