MAKAMU ASKOFU WA EAGT ILALA AFUNGUKA MGONGANO NA MALUMBANO YANAYOENDELEA KWA FAMILIA MBILI
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=CFm6XTFT0hc
Makamu Askofu wa EAGT Jimbo la Ilala Dakta Nsajigwa Mwaisaka amefafanua juu ya mgongano na malumbano yanayoendelea katika familia mbili huko Mashariki ya kati. • Dakta .waisaka pia amezungumzia tofauti ya JEHOVAH NA ALLAH ambapo amesema Jehova anae mwana kama Biblia kitabu cha Yohana 3:16 inavyosema kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae pekee ili.kila amwaminie asipotee bali awe na uzima wa milele. • Namba ya Makamu Askofu wa EAGT.Jimbo la Ilala Dakta Nsajigwa Mwaisaka 0655 902 323.
#############################
