MASERAFI WANAIMBA LYRICS with ENG SUB HENRICK MRUMA ft NICKSON KANYELELE
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=CM5320nlV88
Here we go again 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 • Its Henrick Mruma ft Nickson Kanyelele in Maserafi wanaimba lyrics video with ENGLISH SUBTITLE...... • DONT FORGET TO SUBSCRIBE • @partialyrics • Maserafi wanaimba Haleluya (The seraphim sing hallelujah) • Makerubi wanasema wastahili (Cherubim say you are worthy) • Haleluya (Hallelujah) • Umeketi juu ya enzi yote Bwana (You are seated above all the ages, Lord) • Wanainama wanainuka mbele zako (They bow down and rise before you) • Nani wa kulingana nawe (Who to match you) • Nani wa kufanana nawe (Who is like you?) • Wewe eee wewe wastahili (You are worthy Lord) • Umeketi juu ya enzi juu sana Bwana wangu (You are seated on a throne very high my Lord) • Wanakupigilia kelele wewe wastahili (They yell at you, you're worthy Lord) • Twaungana na Maserafi na Makerubi (We join the Seraphim and Cherubim) • Tukisema haleluya wastahili (We confessing hallelujah you are worthy) • Haleluya (Hallelujah) • Haleluya (Hallelujah) • Haleluya (Hallelujah) • Haleluya (Hallelujah) • Haleluya (Hallelujah) • Yesu (Jesus) • (MUSIC) • Haleluya Haleluya Bwana (Hallelujah Hallelujah Lord) • Wastahili heshima na enzi (You are worthy of honor and glory) • Wastahili wastahili Bwana (You are worthy Lord) • Kupokea utukufu wote (To receive all the glory) • @partialyrics • • SUCCESS LYRICS - WALTER CHILAMBO ft JUX • • AMEFANYA MUNGU LYRICS (with ENG SUBTI... • • NAKUTEGEMEA LYRICS - HENRICK MRUMA FT... • • Paul Clement - Upendo Lyrics Video • • Paul Clement - Mpango Lyrics
#############################
