JOSHUA MUTALE NEW PLAYER OF SIMBA SC CONFIRMED SKILLS amp GOALS 20242025











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=CaseJ_1wpN4

Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) baada ya leo kuichapa Nkana FC ya Zambia magoli 3-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. • • Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita. • Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea. • Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi. • Simba SC beats Zambia giants Nkana FC 3-1 in Dar Es Salaam to qualify for CAF Champions League group stage. 23/12/2018. • #simbankana #simbascnkanafc #simba3-nkana1 • Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. • Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: • ► https://play.google.com/store/apps/de... • Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii • ►INSTAGRAM:   / azamtvtz   • ►TWITTER:   / azamtvtz   • ►FACEBOOK:   / azamtvtz   • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org