MAAJABU YA MBEGU YA AVOCADO USIITUPE halisiplatform











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=DZq6KUlQEU8

USITUPE MBEGU YA AVOCADO (PARACHICHI) INA MAAJABU YAKE. • Ni tiba kubwa na kirutubisho muhimu ndani ya mwili wako. • Nadhani avocado/parachichi sio tunda geni kwako, • Hili ni tunda maarufu sana duniani na wengi tunalitumia, Najua kuwa wengi wetu tukimaliza kula tunda huwa tunatupa ile mbegu pengine labda kwasababu hatujui umuhimu wake, • Leo nitakujuza kuhusu maajabu ya hii mbegu ya avocado, • Hii mbegu ina virutubisho vingi muhimu katika mwili wa mwanadamu, ambavyo vinaweza kutumika kama tiba lakini pia kama mlo wa kawaida wenye kuleta manufaa makubwa mwilini, • Imebainika kuwa mbegu hii inafaida kubwa sana kitiba, inasaidia kuzuia kifafa, inauwezo wa kutibu pumu, inazuia au kupona magonjwa ya moyo, Inasaidia katika kupunguza uzito, inazuia seli za mwili kuzeeka mapema, inasaidia kuondoa matatizo ya misuli, inasaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa. • Inatibu kwa uhakika maradhi mbalimbali mfano kansa, Presha or Shinikizo la juu la damu (high blood pressure), matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na mfumo wa uzazi kama vidonda vya tumbo, kuharisha, tumbo kuuma, kushindwa kushika mimba, matatizo ya hedhi, n.k • Lakini pia mbegu hii ni nzuri sana katika kuimarisha kinga ya mwili, ni nzuri katika maswala ya urembo kwa kuimarisha afya ya ngozi na nywele. • Ndani ya mbegu hii kuna utajiri mkubwa wa fibre, antioxidants, kuna vitamin k, folate, kuna magnessium, potassium, n.k • ambapo virutubisho hivyo vinafanya kazi nyingi sana katika mwili wa mwanadamu. • Fibre ama nyuzi nyuzi kwa kiswahili rahisi ni muhimu sana katika mwili kwani husaidia kuweka sawa kiwango cha sukari mwilini, fibre zinashusha cholestrol au rehemu mbaya mwilini, fibre zinasaidia katika mmeng'enyo wa chakula, na mengine mengi nimeeleza katika video. • Antioxidants zinazopatikana ndani yake ni kirutubisho muhimu sana mwilini, maana antioxidant ni molekuli ambazo zinasaidia kuzuia na kuondoa Uchafu/kemikali zisizohitajika na zenye madhara mwilini ambazo kitaalamu huitwa free radicals, • Matumizi yake ni rahisi sana, ukishaandaa unga huu wa avocado au parachichi unaweza kutumia kwa kunywa kijiko kimoja katika chai, uji, chakula, au kwa kuchanganya na asali n.k • MBEGU HII KATIKA AFYA YA NGOZI (UREMBO) • Kwa wale wanaotaka ngozi laini, tamu na ya kuvutia... • Utachukua unga wa avocado/parachichi kijiko kimoja, utachanganya na mafuta ya nazi au yorgat kisha utapaka katika ngozi yako au uso wako, kisha utakaa kama dakika 15 ndio unawe na maji ya uvuguvugu. • Yapo mengi sana ya kueleza kuhusu mbegu hii ya avocado lakini kwa leo nitaishia hapa, somo lijalo nitaeleza jinsi ya kujitibu Pressure na vidonda vya tumbo kwa kutumia mbegu hii hii ya avocado, • Video nimekuwekea kuhusu mbegu hii ambapo nimeeleza in details faida zake, jinsi ya kuandaa na matumizi kwa inshu tofauti tofauti, • Ingia youtube search bila kuacha nafasi @halisiplatform au nenda moja kwa moja kwa kufuata link hii 👉   • MAAJABU YA MBEGU YA AVOCADO, USIITUPE...   • #avocadoseeds #avocado #parachichi

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org