Webisode 51 Akiba ya Pesa Ubongo Kids Katuni za Kiswahili











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Dn_zI-pGLHU

Jifunze kuhusu kuweka akiba ya pesa kupitia hii episode nzima ya Ubongo Kids! Jamani, kumbuka kwamba akiba haiozi, na ukihifadhi pesa zako leo zitakusaidia wakati wa shida kesho! • Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! • Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! • Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! • Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! • Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org