Takabali Dua Yangu
YOUR LINK HERE:
http://youtube.com/watch?v=DsEDb6TZoDE
Taarabu ya Yusuf Tenge. • Takabali Dua Yangu, Hakimu wa Mahakimu, • Uwaonye Walimwengu, Malipo ya Udhalimu, • Wimbo huu Umeimbwa na Yusuf Tenge Anayetoka Kisiwa Lamu Nchini Kenya Na • Tumeuweka hapa Ili Kuzikuza Wimbo Za Kibajuni na Kuunga Undugu. • • Takabali Dua Yangu.
#############################
