TUNARUDI NYUMBANI Kwaya ya Mt Alois GonzagaKigamboni
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=E3Q6N7VX7QY
Karibu kutazama namna Tamasha la Yesu ni mwema lilivyofana Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga ikiimba Jukwaani wimbo maalum uliobeba ujumbe wa Tamasha. • Wimbo: Tunarudi Nyumbani • Mtunzi: B.Mukasa • Waimbaji: kwaya ya Mt. Alois Gonzaga - kigamboni • Wapiga vinanda: Edmond Balili na Mashamba • Wapiga Violin: The Strings • Mpiga ngoma: Deusdedit Pazia • Mtiribu: G.Jilala • #Tunarudinyumbani #tym_2023 #aloisgonzaga, #kwayakatoliki #vatican #liveperformance
#############################
![](http://youtor.org/essay_main.png)