Flier Bandia
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=E50ySOz5y1M
“Bandia” Available everywhere you listen to music! • Stream / Buy: https://linktr.ee/fliermusic • Written, produced arranged by Flier • Samuel Mbaluka - Bass, Acoustic guitar • Calvin Baraka - Alto Saxophone • Bandia • Hao watiaji waambie • Shughuli wajipatie • Ushapendana na miye • Wacha kimnatho waskie • Watasakanya wadhi • Wakudanganya round hii • Tumewarada side hii • Piga pang'ang'a zaidi • (Ooh, Ooh, Ooh) • Hakuna pahali naenda, ha • (Ooh, Ooh, Ooh) • Hakuna pahali naenda, ha • Wengi wali come wakaenda • Na baby bado ananipenda • Mabrejin wali turn to ma hater • Nacheki wanajam tukimeta • Mafeki wana plan kama tenga • Zakunitenganisha nawe • Tunajua dhamira zao • Tusiendanishe nao • Mambleina wali try wakahema • Ma linesmen wali side na marefa • Mashabik wakadai nitafwekwa • Kwa mechi kuni slice wakachengwa • Marafiki bandia • Wametupangia • Tumeona kwa mbali • Tumeona maplani • Zakutuvamia • Wametupangia • Tumeona kwa mbali • Tumeona maplani • Marafiki bandia • Wengi wali doubt kama sisi • Tungeweza ata last ka kawiki • Walisema hii ni lust ya tudishi • Waka swear utaniacha kwa dhiki • Na ma years zika pass tuko fiti • Bado wa pass fitina zao • Tunajua dhamira zao • Husuda ndio zao • Hawaamini uko happy saa hizi • Maskini wameanza kuchizi • Wengine wanawashwa mwilini • Wakiskia unayetaka ni mimi • Marafiki bandia • Wametupangia • Tumeona kwa mbali • Tumeona maplani • Zakutuvamia • Wametupangia • Tumeona kwa mbali • Tumeona maplani • Marafiki bandia • Marafiki bandia • Bandia • Follow Flier • Instagram: @fliermusic • Twitter: @fliermusic • Facebook: @ofallthingsfly
#############################
