Omieri nyoka alielindwa kama mgeni Nyakach SemaNaCitizen
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=EjH6NfRJBME
Mwaka wa 1989, kisa cha kupatikana kwa nyoka mkubwa katika eneo la Nyakach kiligonga vichwa vya habari. Hata hivyo nyoka huyo aliyeitwa Omieri alitoweka miezi minne baada ya kupatikana na hakuonekana tena. Laura Otieno alizuru eneo hilo ambapo nyoka wawili walifanya makao na kulindwa kama wageni kabla ya kutoweka. • • • • Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. • This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. • Follow us: • http://citizentv.co.ke • / citizentvkenya • / citizentvkenya • https://plus.google.com/+CitizenTVKenya • / citizentvkenya
#############################
