Matunda hatari kwa Mama Mjamzito Mjamzito tumia Matunda haya kwa tahadhari kubwa











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Et89668dNq8

Mjamzito unaweza kula Matunda mengi na mbali mbali ila Matunda baadhi kama tajwa hapo chini unatakiwa kula kwa tahadhari ijapokuwa hakuna tafiti za kisayansi zinazothibitisha athari za Matunda haya wakati wa ujauzito,Lakini Madaktari mbalimbali wanashauri usitumie wakati wa Ujauzito na mimi nakushauri usile au unapokula tumia kwa tahadhari kwa sababu huweza kuathiri ujauzito wako hii ni kwa baadhi ya akina mama siyo wote wanaoathiriwa! • Matunda kwa mfano; • 1.Nanasi • 2.Ukwaju au Juice yake • 3.Papai hususani yanayokaribia kuiva/kukomaa • 4.Zabibu aina zote za viwandani (Nyeusi) na zile za mezani(Nyeupe) • 5. Bitter Melon • Pamoja na vitamini nyingi zilizomo kwenye Matunda hayo yameonesha kuwa na madhara wakati wa ujauzito mfano kusababisha Mimba kuharibika,kupata uchungu kabla ya wakati wa kujifungua na kulegeza mlango wa uzazi na kusababisha Mimba kuporomoka! • Subscribe,Comment and Share • NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇 •    / drmwanyika   • Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube). • Subscribe,Comment and Share • JapideAfya_Services • Your Health is Our Health • Instagram as @JapideAfya_Services • Facebook page as @JapideAfya_Services • ©Dr.Mwanyika. • #MamaAfya • #MatundahatariMjamzito • #drmwanyika

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org