JuaCali Safsana homeboyz launch











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=EuNVvHH6tq8

Follow me on Twitter : @juacaligenge • Facebook page :   / jua-cali-7573659695   • Instagram :   / juacaligenge   • I was at Homeboyz radio Launching my new Single SAFSANA' OFF my 4th upcoming Album 'MALI YA UMMA' • SAFSANA Lyrics • VERSE 1 • Vile nilingia ngoma sikua najua vile itakuwa • Kitu nilikua najua tu nitawauwa • Nipe pen nipe karatasi • Mawazo zote zitoke kichwani • Tuko wengi lakini najua me niko sawa • Me ndio kusema me ndio yule mbaya • Calif yote nyuma yangu • Mpango nikuchange industry ikue kwangu • Wape ngoma tamu wasirudi nyuma • Wasanii tunawacheka wakianguka • Genge jina kubwa inasimama • Tukitembea kila mahali kila mtu anasema….. • CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA • HAPO SAWA • ASANTA *2 • • VERSE 2 • Jina inajipa lakini sijaridhika • Mavijana wakona mimi/Wazee sijawashika • Pole pole tu watakubali • Pole pole wataelewa lugha ya mtaani • Nani alisema hatutatoboa • Hakuna makazi hii ndio kitu itatuokoa • Show ya bure me napiga tu • Ata wasipoinua mkono nitawaimbia tu • Hivyo hivyo hakuna kuogopa • Nauwa show ungedhani me ni show Stopper • Genge ndio hio inabaki imesimama • Baada ya show kila mtu anasema….. • CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA • HAPO SAWA • ASANTA *2 • • • VERSE 3 • Ka una unasupport Genge shukran sana • Ka we ni DJ shukran sana • Ma Club zote shukran sana • Radio zote shukran sana • Watu wa Majuu shukran sana • Ma Promoter wote shukran sana • Mtaa zote shukran sana • Wewe na wewe shukran sana • TV zote shukran sana • MaGazeti zote shukran sana • Ma Corporate wote shukran sana • Bila nyinyi hatungekua hapa… • CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA • HAPO SAWA • ASANTA *4 #JuaCali

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org