>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=GJgZP8kn5Tw
Official Video: • Ukae Nami - Henrick Mruma (Official L... • Official live video: • Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe - Henric... • LYRICS • [Chorus] • E Bwana ukae nami • Ukae nami milele • Bwana ni mlinzi wangu • uvuli wa mkono wa kuume • Jua halitanipiga mchana • Wala mwezi wakati wa usiku • Utanilinda na mabaya yote • Mabaya yote • Utanilinda nitokapao na niingiapo • (Chorus) • [Milele, milele • Ukae nami milele] ×2 • • Kaa nami ni usiku tena • Usiniache gizani bwana • Msaada wako haukoki • Nili peke yangu kaa nami • Nina haja na we kila saa • Sina mwingine wa kunifaa • Mimi nitaongozwa na nani • Ila wewe bwana kaa nami • Ila wewe bwana kaa nami • Ila wewe bwana kaa nami • Ila wewe bwana kaa nami • Ila wewe bwana kaa nami • Ila wewe bwana kaa nami • Ila wewe bwana kaa nami • Ila wewe bwana kaa nami
#############################
