Ni Tabibu Lyrics Worship Culture











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=GxG3wDpdALE

Ni Tabibu - Worship Culture • πŸ”΄πŸ”΅πŸŸ‘πŸ”΅πŸ”΄ • #worshiphitsguide #worshipculture #worshipsongs • Subscribe to Worship Hits Guide for more Lyrics and Playlists • πŸ’²πŸ’²Support Us: https://buymeacoffee.com/hitsmusic • NI TABIBU LYRICS • Ni Tabibu wa karibu • tabibu wa ajabu • na neema ya daima • ni dawa yake njema • X2 • CHORUS • Imbeni malaika • sifa za Yesu Bwana • pekee limetukuka • Jina lake Yesu • X2 • Hatufai kuwa hai • wala hatutumai • ila yeye kweli ndiye • atupumzishaye • Dhambi pia na hatia • ametuchukulia • twenendeni na amani • hata kwake mbinguni • CHORUS X2 • Ulio na tamu jina • la Yesu Kristu Bwana • yu na sifa mwenye kufaa • asishindwe na kufaa • X2 • Kila mume asimame • sifa zake zivume • wanawake na washike • kusifu jina lake • X3 • CHORUS • Please subscribe please share this video on social media pages so people can be blessed as well! • © ️ All credits to the respective owners of the Music • Don't re-upload • πŸ”” Thanks for watching! • For Promotions: [email protected] • If you wish us to remove your music also contact : [email protected] we will surely do so.

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader Β© 2025

created by www.youtor.org