Anastacia Muema Sala ya Asubuhi Official Video
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=HZZWY5Rg6hI
Kila siku mpya inapoanza, ni fursa mpya ya kumkumbuka Mungu na kujikabidhi kwake. Nawaalika watazamaji wote muweze kushiriki nami katika kusali sala hii iliyo katika wimbo huu kama ulivyotungwa naye (Daniel Cleopa).Ifanye kila siku yako iwe ya Baraka kwa kuanza siku kwa wimbo huu. Mungu ana nafasi ya pekee katika Maisha yetu,tumkabidhi kazi zetu na kujiweka kwake kila siku mpya inapoanza.Unapoisikiliza, Mungu akakubariki na sala hii ikawe Baraka kwako. Amina. • Special Appreciation to, • Mtunzi: Daniel Cleopa • Studio: RAJO PRODUCTIONS • Director: Ray Ufunguo • Organist: Tumaini Swai • #Rajoproductions #miminaneema #kwayazakatoliki #nyimbozakatolikitanzania
#############################
