Jinsi Nilivyotibu Chunusi na Makovu Usoni My story
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=HiOPkGvlOkQ
Chunusi ni moja ya tatizo ambalo linawasumbua watu wengi lakini zaidi linawasumbua wanawake. Kwa muda wa zaidi ya miaka miwili nimekuwa na chunusi ambazo zimepona na baadae ziliacha makovu ambayo pia yameisha kwa 95% na siku ya leo nashare nanyi story na baadhi ya vitu vilivyonisaidia. • Bidhaa nilizozitaja: • Bioderma - TZS 45,000 - inapatikana maduka ya madawa makubwa mfano Nakiete pale ITV, Premier Care Clinic Namanga au Masaki. • Adapalene - TZS 25,000 - Inapatikana maduka mengi ya madawa • Dermaceutic light ceutic - TZS 132,000 inapatikana Premier Care Clinic, Masaki • Clear Essence Antiseptic Cleanser - TZS 30,000 inapatikana katika maduka ya vipodozi (ZuRii House oF Beauty) • Kigoma video - • 2 Day Trip To Kigoma | Tanzania • Usisahau kusubscribe! • Connect: • Blog: https://www.dailylifetalk.com/ • Instagram: / janeshussa • Twitter: / shussajane • Music: YouTube Library
#############################
