ALFAJIRI YA KUPENDEZA OFFICIAL VIDEO St Pauls Students Choir University of Nairobi
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=J2O-WK7M-GI
Available on all Platforms: https://album.link/i/1752463683 • Download or listen online: https://mdundo.com/song/2824045 • Performers: St Paul's Students' Choir - University of Nairobi • Producer: Verony Productions Ltd. • Copyright ©Verony Productions Ltd. • Alfajiri ya kupendeza, ni siku njema siku yenye baraka, • Jua limekwishachomoza, laamsha wote waliolala • Ndege nao wanalialia kumshukuru Muumba (njooni) • (Njooni baba, mama na watoto Njoni wote mbele za Bwana • Tumtolee shukrani zetu, kwa kutoa sadaka) *2 • Ndege wanamshukuru, kwa sauti za kupendeza • Na sisi tumshukuru, kwa zawadi alizotupa (njooni) • Wanyama pia na mimea, vyote vimeumbwa na Mungu • Vitu vyote vya duniani, vyapaswa kumshukuru Mungu (njooni) • Kaiumba dunia hii, kaweka giza pia mwanga • Mchana tufanyeni kazi, usiku na tupumzike (njooni)
#############################
