Shuhudia nguvu za Nabii Mwingira akimsimika Mchungaji
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=JSunsD2pjjw
Kiongozi wa Kanisa la EFATHA Tanzania, Mtume na Nabii Josephat Mwingira amemsimika Mchungaji wa Kanisa hilo mkoani Mwanza, Victor Malamla. • Ibada hiyo imehudhuriwa na waamini, viongozi mbalimbali wa dini na Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella. #BMGHabari
#############################
![](http://youtor.org/essay_main.png)