PAMBANO ZIMA Hassan Mwakinyo alivyomtwanga Jose Carlos Paz Usiku wa Vitasa 13112020
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Ju6HhW-tLdk
MWAKINYO VS PAZ: Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ametetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welter Weight baada ya kumtwanga Jose Carlos Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne. • Ndondi hizi zimepigwa kwenye ukumbi wa #NextDoorArena usiku wa Novemba 13, 2020 chini ya utayarishaji wa Jackson Group Fight na kuruka LIVE #AzamSports2HD • #HassanMwakinyo #JoseCarlosPaz #VitasaNight • Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: • ► https://bit.ly/2wB6zmR • Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii • ►INSTAGRAM: / azamtvtz • ►INSTAGRAM: / azamsports2 • ►TWITTER: / azamtvtz • ►FACEBOOK: / azamtvtz • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#############################
