Watoto 2 wafariki kutokana na kimbunga Kisauni Mombasa
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=K43ZsGvj1PQ
Watoto wawili wamefariki mjini Mombasa baada ya kuangukiwa na mti walipokuwa wamelala nyumbani mwao usiku wa kuamkia leo. Inaripotiwa kuwa upepo mkali sawa na Kimbunga ulikuwa ukivuma kwa kasi katika mji wa Mombasa na kusababisha uharibifu mkubwa katika eneo hilo na hata katika viunga vyake. • Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live • Follow us on / ktnkenya • Like us on / ktnkenya
#############################
