KUNENA KWA LUGHA PASTOR SUNBELLA KYANDO











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=KQTY2psuCP4

Matendo ya Mitume 2:2-4 • Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka. • Biblia inasema wote wakajazwa na Roho Mtakatifu.Lakini kanuni ya kwanza kabla hujampokea huyu Roho Mtakatifu ni lazima uwe umempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. • Fuatiliza hii Sala ya toba ninayokuongoza. • Katika maombi haya ya Ujazo wa Roho Mtakatifu utaenda kumuona Mungu kwa namna iliyo kuu.Kinachohitajika ni Imani yako tu,na kinachotakiwa ni wewe kuwa na kiu ya kujazwa naye. • #PastorSunbella#Kunena#KwaLugha

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org