Viongozi Mlima Kenya wasema italeta umoja nchini











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=LoE9MjTuvIY

Baadhi yaviongozi kutoka eneo la Mlima Kenya wamepongeza uamuzi wa rais William Ruto kubuni serikali jumuishi,wakisema itakuza umoja wa taifa na kumaliza migawanyiko ya kisiasa hapa nchini.Viongozi hao,miongoni mwao gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru na mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro,ambao waliandamana na rais katika ziara yake ya Kirinyaga walisema umoja wa taifa utatoa mazingira bora kwa shughuli za biashara na kusaidia kubuni nafasi za kazi. • Connect with KBC Online; • Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN • Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 • Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv   • Check our website: https://www.kbc.co.ke/ • • #kbcchannel1 #news #kbclive

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org