Ari ya Senegal katika kuwania taji la AFCON
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=MSOOKcv3xso
Timu ya Senegal inatarajiwa kutotatizwa kwa urahisi na mahasimu wao Algeria, Ghana na Afrika kusini katika michuano ya makundi kuwania taji la soka bara Afrika. Senegal imekosa kung’aa kwa muda.. Na sasa wengi wamesalia kukumbuka ustadi wao wa mwaka 2002 katika kipute cha dimba la dunia. • Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live • Follow us on / ktnkenya • Like us on / ktnkenya
#############################
