KIBENA NA MZUNGU Hadithi za Kiswahili Katuni za Kiswahili











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=NDYKjWP5Yxc

KIBENA NA MZUNGU • Hapo kale Katika UFALME palitokea Mfalme aliyekuwa akiwaongoza watu wake bila uadilifu…. • Wakati fulani Malikia alinifungua mtoto wa kike,mtoto huyu alikuwa mzuri na mrembo mno,nywele zake zilikuwa ni za dhahabu… • Mfalme na Malikia walifurahia Sana kuzaliwa kwa mtoto huyo,kwani alikuwa ni mtoto wa kwanza wa Mfalme… • Mfalme akampa Jina la Losa Binti yake akimaanisha ni kwanza na mwenye nguvu… • Siku moja kwenye UFALME huo walikuja malaika,Malaika walifika hapo ili kumpongeza Mfalme kwa kupata mtoto,Lakini pia walimuonya Sana MFALME na kumsihi kuwa mwema kwa watu wake… • Lakini MFALME Hakuwasikiliza Malaika kwani alijiona kuwa sahihi wakati wote… • Malaika kwa kuona bado MFALME alikuwa ni mkaidi wakaamua kwenda zao.. • Siku iliyofuata walipoamka LOSA Binti Mfalme hakuwa na nywele zake za dhahabu kichwani,Tena alibaki akiwa mwenye Upara.. • #hadithizakiswahili2023 #katunizakiswahili #swahilifairytales

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org