💡WANAUME HUSHINDANA WANAWAKE HUSHIRIKIANA
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=NO8Z1Bt44QQ
📍 Kwenye ulimwengu wa wanaume kushindana ni jambo la kawaida, Hivyo kwenye malezi mfundishe mtoto wako wa kiume kushindana. • 📍USIKOSE DARASA LIJALO LA MALEZI (DARASA LA MALEZI EP 02 - 13 Julai 2024) • 📍Endelea kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii kujifunza zaidi • #DeoSukambi #DarasaLaMalezi #Malezi #Watoto #Wazazi #UsichokijuaKuhusuMalezi #Wanaume #Kushindana #Wanawake #Kushirikiana
#############################
