TANZANIA TULIPO MIAKA 63 YA UHURU
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Nv1efNepjes
DAR ES SALAAM: BAADA ya kuchoka kutawaliwa kimabavu huku umasikini ukitamalaki kwa Watanganyika, harakati za kudai uhuru zikaanza. • Madhara ya vita ya pili ya dunia na hatua zilizochukuliwa na Waingereza kwa lengo la kufidia hasara iliyotokana na vita hivyo iliongeza makali ya kimaisha hususani kwa watawaliwa na kuamsha hisia za kujitawala. • Ikawa usiku, ikawa asubuhi. Tazama ni siku mpya. Usiku wa kuamkia Jumamosi, Desemba 9, 1961 ukawadia. Wananchi wakashuhudia Waziri Mkuu wa wakati huo, Mwalimu Nyerere na Gavana Richard Tanbull wakipandisha bendera ya Tanganyika kuashiria kuwa Tanganyika ni nchi huru. • Follow us on: • FACEBOOK; • SpotiLeo: / spotileo-176. . • HabariLeo: / habarileo • DailyNews: / dailynewstz • INSTAGRAM; • HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... • SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... • TWITTER; • Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
#############################
