Mbosso Ololo Laini Version











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=OaW-SuV-Bzk

Wimbo wa Ololo by Mbosso • #muzikilainilaini #muzikilaini • Lyrics: • Nimefanya survey • Jiji lako liko salama • Umenitoa hofu mashaka Shulala, Sholele • Moyo upo bombei • Mwili upo daresalama • Hisia zimevuka mipaka (Shulala, Sholele) • Raha zimefatizana, utamu sukari tele • Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele! • (Bridge) • Raha zimefatizana, utamu sukari tele • Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele! • (Chorus) • Oka, tafadhali, usiniache kwenye hii safari • Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo dakitari • Tafadhali, usiniache kwenye hii safari • Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo dakitari • Olala ololo, olala ololo ololo • (Olala ololo, olala ololo ololo) • Olala ololo, olala ololo loo lolo • (Olala ololo, olala ololo ololo) • (Verse 2) • Baby watazame wale, hawali wakashiba • Wanakesha kuroga tuachane • Kwetu mambo narenare, raha sio kawaida • Wenye presha na pumu ziwabane • Mhhh, mapenzi uji wa moto (wa moto) • Puliza mi nikoroge (nikoroge ) • Kisha nifanye kama mtoto (mtoto) • Unibebe tukaoge • Raha zimefatizana, utamu sukari tele • Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele • (Bridge) • Raha zimefatizana, utamu sukari tele • Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele • (Chorus) • Oka, tafadhali, usiniache kwenye hii safari • Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo dakitari • Tafadhali, usiniache kwenye hii safari • Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo dakitari • Olala ololo, olala ololo ololo • (Olala ololo, olala ololo ololo) • Olala ololo, olala ololo loo lolo • (Olala ololo, olala ololo ololo)

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org