Rapcha ft Vanillah 40 Missed Calls Official Music Video
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=QKGuCJM_SU8
STREAM/DOWNLOAD TTTV2: https://linktr.ee/rapcha • LYRICS • Someone is playing with me • kuna mtu ananichezea • Someone is playing with me • Nashuka kiuchumi ndoa yangu inachafuka • Kuna mchezo unaendelea they are playing with me • Muda mchache kwenye ndoa maumivu yamenizidia • Huu ni mwezi wa tano unaingia • Nkitazama muda ni Saa sita usiku, • baada ya kumtafuta sana • huyu mwenzangu ndo nyumbani anaingia • Niambie umetoka wapi Salma • Hii kesi isidingo si tumetoka kuisolve jana • Isingefika 40 missed calls ka ulikua kwa mama • Nakuambiaga huniheshimu Salma unanidharau sana • story zako mjini naambiwa • Hamna kitu kinaniuma kama habari kwamba mi namegewa • Unanipandisha hasira • navokuambia ukweli afu unanijibu kwa kufoka • kama unaonewa Hebu Leta simu yako, fungua!!! • Salma usinipandishie, icho kiburi chako ntakupasua • Naichukua nianze kuipekua akaja kuikwapua • Akili ikaflip, gun nkanyanyua • Salma Kanijia juu, Nimechoka maisha ya kubaniwa • Bora tu tuachane umezidi kunitishia • Story za malaya wako nikikuambia unajifanya mkali • Kama we kidume fyatua.. • Gun shots!! • [Chorus: Vanilla] • Nilikupenda mpaka kufuru • nikawa nawaza jidhuru • ukiwa mbali • Tena nikakupa uhuru • na ukashindwa shukuru • ikawa ndo dosari • Ukaenda ku date na wale • Mi wakuwa nasota we ule • Na mie kukuacha siwezi • Ni bora dunia tuiache aah • [Verse 2: Rapcha] • Fahamu zinarudi akili imeduaa • Salma anateseka chini baada ya risasi nne kumvaa • Hofu kubwa inaniingia nikiangalia • Damu yake inavyonililia chini inatapakaa • Ndo Idea ya kukamatwa ikanijia • Nikajua haitopita muda mapolisi watanitimbia • Ila nguvu zote zishaniishia • Nikiumia kuona safari yetu ya mapenzi ilipokwamia • Dhambi inaanza kunitafuna • Natamani nirudishe muda nyuma niongee na Salma • Najiona mnafki kwa kumwaga damu • kwa makosa ambayo moyoni najua kuwa na mimi nafanya • Itanitesa maisha yangu yote hii memory • Ego zetu zimefanya tumeharibu destiny • Vita na Insecurities hakukuwa na honesty • Na loyalty marafiki wakatunyima privacy • litimie agano • Nahisi Mungu ametuchagua mi na wewe tuwe mfano • Salma, hukustahili hii adhabu ninakiri • Naomba kabla haujafika mbali nisubiri • Gun shot!! • [Vanilla] • Roho yangu inauma • Kosa lako kuzichezea hisia zangu Inamaana hukuona • Nilivyopambana kuziheshimu hisia zako? Aaah • [Chorus] • Nilikupenda mpaka kufuru • nikawa nawaza jidhuru • ukiwa mbali • Tena nikakupa uhuru • na ukashindwa shukuru • ikawa ndo dosari • Ukaenda ku date na wale • Mi wakuwa nasota we ule • Na mie kukuacha siwezi • Ni bora dunia tuiache aah • • Audio produced by: / papa_tz • Mixing and Mastering by: / yogobeats • Join Our Family: • / rapcha_tz • / rapcha_tz • / rapcha_tz • • #rapcha #vanillah #40missedcalls
#############################
